Tuesday, May 3, 2016

burudani

Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotokaTottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea.
33BFB5EA00000578-3569871-image-a-36_1462216096942
Kiungo wa Leicester Matty James (katikati) akiwa ndani ya gari na King na Drinkwater
Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama ChelseaMan UnitedArsenal na nyinginezo.
33BF72EF00000578-3569871-image-a-1_1462213625589
Christian Fuchs (kushoto) na Robert Huth wakiwasili kwa Jamie Vardy Melton Mowbray
33BF947700000578-3569871-image-a-21_1462214496996
Shinji Okazaki (kushoto) na Gorkan Inle
33BFA13F00000578-3569871-image-a-22_1462214837572
Liam Moore (anayeendesha) na Jeff Schlupp wakiwasili nyumbani kwa Vardy huku mashabiki wao wakiwapiga picha
33BFA3A100000578-3569871-image-a-23_1462214987938
Nahodha wao Wes Morgan akiwasili pekee yake kwenye gari
33C08E6C00000578-3569871-image-m-44_1462227294871
33BFACBA00000578-3569871-image-a-24_1462215515307
33BFB24000000578-3569871-image-a-33_1462215809214
33C0756600000578-3569871-image-a-79_1462225848598
33C063A500000578-3569871-image-a-61_1462225499863
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF

Dr Mwaka - Foreplan Clinic

SOMA NA HIZI

TUPIA COMMENTS


No comments:

Post a Comment