Baada ya klabu ya Leicester City kutangaza Ubingwa kufuatia sare ya goli 2-2 waliotokaTottenham Hotspurs dhidi ya Chelsea katika uwanja wa Stamford Bridge, wachezaji wa Leicester City kwa pamoja walikusanyika katika nyumba ya Jamie Vardy ambaye ni mchezaji mwenzao wa timu hiyo na kuanza kusherekea.
Nyota karibia wote wa Leicester City waliwasili kwa Vardy huku baadhi ya mashabiki wakiishia kuzunguuka nyumba ya Vardy na kushangazwa na wachezaji hao wa Leicester City ambao wametwaa Ubingwa mbele ya timu vigogo kama Chelsea, Man UnitedArsenal na nyinginezo.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram naYouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ALL GOALS: Yanga vs Al Ahly (Full Time 1-1) April 9 2016 CAF
RELATED ITEMSSOKA ULAYA
← PREVIOUS STORYVIDEO: Kuanzia mashabiki wa Chelsea wachezaji wamepamba kuipa Ubingwa Leicester City